Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa Rais wa Burkina Faso Captain Ibrahim Traore Mjini Ouagadougou na kushuhudiwa na baadhi ya maafisa waandamizi wa nchi zote mbili akiwemo Balozi wa Tanzania Madam Hoyce Temu. Mhe. Kikwete aliwasilisha pia salamu za Rais Samia ambazo zilielezea umuhimu wa nchi za Afrika kuimarisha ushirikiano wa kijamii na kiuchumi kama njia muhimu kwa bara hilo kujitegemea, hususan katika kipindi hiki ambapo misaada kutoka nchi za Magharibi imepungua kwa kiasi kikubwa.

18 Aprili 2025 - 00:52

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa Rais wa Bukoba Faso, Ibrahim Traore

Mhe. Kikwete aliwasilisha pia salamu za Rais Samia ambazo zilielezea umuhimu wa nchi za Afrika kuimarisha ushirikiano wa kijamii na kiuchumi kama njia muhimu kwa bara hilo kujitegemea, hususan katika kipindi hiki ambapo misaada kutoka nchi za Magharibi imepungua kwa kiasi kikubwa.

Your Comment

You are replying to: .
captcha